Programu ya Android
Kadi Sasa mfukoni mwako
Kwa wenye sherehe, kamati na walinda lango. Simamia wageni, tuma kadi na uendeshe lango kutoka kwenye simu yako.
Inakuja hivi karibuni
Programu bado haijatoka
Tunaiandaa kwa Google Play. Kwa sasa unaweza kufanya kila kitu kwenye kivinjari: kuunda tukio, kutuma kadi na kufuatilia michango.
Tumia kwenye kivinjariUnachoweza kufanya
Tuma kadi
Kwa WhatsApp, SMS au karatasi, na uone nani ameipokea.
Fuatilia majibu na michango
Idadi ya watakaohudhuria na ahadi zilizolipwa, kwa wakati.
Endesha lango bila mtandao
Skani QR au tafuta jina; skani zinasawazishwa mtandao ukirudi.
Wewe ni mgeni?
Huhitaji programu. Kadi yako inafunguka kwenye kiungo ulichotumiwa, au weka namba ya kadi.
Hatutakuomba nenosiri, PIN wala malipo ili kupakua. Tumia viungo vilivyo kwenye ukurasa huu tu.